ayahna-comb-refrigerator-317x320

Mtoto wa miaka 9 jinsia ya kike raia wa korea amekutwa amekufa ndani ya frig ndani kwako baada ya kupotea kwa zaidi ya miezi 5 nyumbani kwako,Polisi wamesibisisha kutokea kwa tukio hilo ambapo taarifa zao za uchunguzi zinasema mtoto huyuo alika kwenye friji kwa zaidi ya mwezi mmoja.Baada ya polisikufanya upelezi kwa mzazi wa mtoto huyo pamoja na msaidizi wa kazi za ndani polisi wamegundua kwamba mtoto huyu aliwekwa huko ijapo haijalikana ni nani aliye muweka huko kati ya mama au msaidizi wa kazi za ndani 


Post a Comment

 
Top