Msanii Diamond Platnumz ambaye anatanya vizuri katika anga la muziki duniani akiwa na single yake mpya aliyoipa jinala mdogo mdogo videe yake iliyofanyika uingereza siku ya jana alitua katika viwanja vya Mwal. Julius Nyerere majira ya saa nne na nusu za usiku akitokea nchini Marekani hizini baadhi ya picha zake katika mapokeziyake yalivyokuwa
Home
»
star photo
» PICHA ZA MAPOKEZI YA MSANII @diamondplatnumz JANA ALIPOTOKEA MAREKANI ZIKO HAPA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment