Siku za karibuni ulisikia habari iliyo wahusu msanii Ray C pamoja na TID ambapo msanii TID alimtuna live msanii Ray C lakin baada ya kimya kupita msanii Ray C kupitia mtandao wa Instagram ameandika haya naomba ni nukuu “Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema.(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa.
UMEONA ALICHOKIANDIKA MSANII RAY C BAADA YA TID MNYAMA KUMTUKANA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM KIKO HAPA.

Post a Comment