Msanii Davido kutoka kule Nchini Nigeria amefunguka juu ya habari zilizokuwa zikizagaa kwenye mitandao mbalimbali ya habari nchini humo juu ya kufanya collabo na wasanii kutoka marekani kama Rick Ross,Trey Songz,Asamoah Gyan pamoja na msanii D’Prince na wengine wengi tizama video hii kuthibisha hilo
Post a Comment