h11Hussein Machozi ni staa wa bongofleva ambae alihamia nchini Kenya kwa muda ili kukamilisha mambo yake ikiwemo muziki anaoufanya toka kitambo ambapo baada ya mishemishe hizo anatarajia kurudi kuendelea kuishi Tanzania hivi karibuni.
Kwenye hii video mpya inayoitwa ‘nimepona‘ iliyofanywa Kigali Rwanda wataonekana watu wawili tu ambao ni yeye na huyu mrembo wa Rwanda tu na inatoka wiki hii.
h8
h9
h7
h6
h5
h3
h4
h2
H1

Post a Comment

 
Top