Msanii Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo zingine zinazotolewa na kituo cha Tv maarafu hapa Africa kinachojulikana kama Channel O ambapo wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo zinazojulikana kama CHOAMVA zitakazo fanyika mapema mwaka huu.Diamond ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni pamoja na



1.MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR

2.MOST GIFTED NEW COMER

3.MOST GIFTED AFRO POP

4.MOST GIFTED EAST AFRICA




Kwenye page yake ya facebook aliandika hivi 





Post a Comment

 
Top