Wasanii walioenda Morogoro kwaajili ya Fiesta, Jumapili hii mchana walienda nyumbani kwa Afande Sele mjini humo kuhudhuria arobaini ya aliyekuwa mke wake, Mama Tunda na kumpa pole. Hizi ni picha zao.
Afande akisaliamna na Michuzi
Afande akisalimiana na Linah na Vanessa Mdee
Post a Comment