Serengeti Fiesta 2014 ikiwa na zamu ya wakazi wa Songea mjini mkoani Ruvuma na vitongoji vya jirani siku ya jana kuamkia leo jumamosi wamepata buradani ya kukata na shoka kutoka kwa wasanii mbalimbali na hizi ni baadhi ya picha za matukio teremka nazo hapa 





 


Mkuu wa wilaya ya Songea alikimtangaza mshindi wa Super nyota Diva


 


 






 


 


 





 





 

 


Picha zote kwa Hisani ya Mtandao wa Bongo5.com picha zingine hizi Hapa

Post a Comment

 
Top