Mtoto anayeaminika kuwa ni wa 50 Cent Marquise Jackson ameweka picha yake facebook akiwa na Floyd Mayweather ambaye kwa sasa hawaelewani na rapper 50 Cent. Hii sio mara ya kwanza Marquise amefanya kitu kama hichi kumuudhi baba yake, awali Marquise alipiga picha na bidha ya Slowbucks ambayo kampuni hio haina maelewani mazuri na 50 Cent.
Picha hio iliambatana na ujumbe uliosema “With Tank and Floyd.”
pic

Post a Comment

 
Top