Home
»
star photo
» UMEZIONA PICHA ZA NYUMBA WANAYOTAKA KUNUNUA JAY Z NA BEYONCE KWA BILIONI 141 HIZI HAPA
Beyonce na Jay Z wapo njiani kununua na kuhamia kwenye nyumba ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 85 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 141 huko Beverly Hills.
Nyumba hiyo ilijengwa na bilionea, Bruce Makowsky.
Nyumba hiyo ya kisasa yenye ukubwa futi za mraba 23,000 ina vyumba vinane, mabafu 15, bwawa la kuogelea, jumba la sinema lenye viti 24 na vingine. Kwa mujibu wa TMZ, Beyonce na Jay Z ambao walidaiwa kuwa na mgogoro wa ndoa yao, waliikagua nyumba hiyo walau mara mbili kabla ya kwenda kwenye ziara yao.
Tazama picha za nyumba hiyo.
Related Posts
- Picha Tano za Alikiba Akiwa Marekani Kushoot Video yake ya Lupela.07 Nov 20150
Staa Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupe...Read more »
- Luis Munana Afichua Siri Nzito ya Mapenzi Aliyonayo kwa Wema Sepetu.06 Nov 20150
Wiki iliyopita picha za mtandaoni zilionesha kuwa Wema Sepetu na mshiriki wa Big Brother Hots...Read more »
- Video; Mashabiki wa Wema Sepetu Akiwamo Lulu wakimwaga Hela kwenye Birthday yake [Royal Birthday].05 Nov 20150
Star Wema Sepetu Ambaye kila mwaka November 2 hufanya Party akisherekea Miaka kadhaa ya Kuzaliw...Read more »
- Photos; Msanii wa Orijino Komedi Afunga Ndoa na Mpenzi wake.11 Oct 20150
Moja kati ya watu wanaolifanua Kundi la Orijino Komedi liendelee kutamba huwezi kumsahau Se...Read more »
- Picha za Diamond Platnumz Akiwa Studio na Msanii wa Kenya Akothee02 Oct 20150
Utakuwa unakumbuka Kuwa Msanii Diamond Platnumz aliwahikufanya Collabo na Star Victoria Kima...Read more »
- Mahaba Niteketeze; Ali Kiba na Jokate Mwagelo Kwenye Picha ya Pamoja01 Oct 20150
Baada ya Tetesi nyingi kuvuma kuwa Ali Kiba na Jokate Mwagelo wanadate na wao wenyewe kuthibi...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.