Niliwahi kusema kuwa shule zetu hapa Tanzania zinaongoza kwa kukosa maadili lakin kumbe za  Kenya ni zaidi ya tatizo. Unaambiwa ifikapo mwisho wa temu wanafunzi wengi hasa kutoka shule za skeokondari hufanya sherehe ambazo hapa Tanzania hita After skul Bash na ndipo huko vitendo vyote hufanyika ikiwemo kucheza uchi na hata na kufanya ngono zisikuwa salama nimekulea picha hizi hapa....





























Post a Comment

 
Top