.jpg)
Baada ya story nyingi kuvuma mtandaoni kuhusu penzi kati ya Sabby Angel na msanii Bob Junior mrembo Sabby ameachia picha yake akiwa na msanii Bobo Junior za kimahaba,lakini siku ya jumanne mrembo huyo anayejulikana kwa Sabby Angel ambaye ilikuwa siku yake ya kuzaliwa alipata msg nono kutoka kwa mpenzi wake Bob Junior na ilisomeka kama hivi





Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.