Mwanafunzi mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza anayesoma  katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida akiwa ni mwaka kwanza amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine,sasa ni hivi huyu mwanafunzi akitoka hospital mkoani Singida baada ya jaribia lake kufeli,endelea kuwa nasi ili tukupatie habari punde zitufikiapo 


Post a Comment

 
Top