Mwanamke mmoja ambaye ameolewa na anafanya kazi benk amekutwa amefariki katika nyumba moja ambayo huwa huitumia kukutana na mpenzi wake ambaye ni wa nje ya ndoa almaarufu kama mchepeko yeye pamoja na mpenzi wake huyo nayejulikana kwa jina la 
Wilson Ugwunna.

Mwanamke huyo ambaye jina lake ni Adejoke Ayeola mwenye umri wa miaka 44 pamoja na mchepuko wake anayejulikana kwa jina la  Wilson Ugwunna 42 wote wakiwa ni raia wa Nigeria, wameacha watoto wawali pamoja na wazazi wenzie ambao wamefunga ndoa hali za kanisani 

Kutokana na uchunguzi wa polisi familia ya Ugwunna walikwenda polisi kurepoti juu ya kutokuonekana kwa mmoja wa familia yao ambaye ni Wilson Ugwunna ndipo polisi walipo pata taarifa kutoka kwa wasamari wema juu yya mwanamke alifia ndani akiwa na mpenzi wake ndipo walipo mkuta bwana huyo akiwa katika hali mbaya walifanikiwa kumuwahisha hospitali lakin baada alifariki dunia

Baadhi ya majirani wa familia hizo wanasema watu hao wamefariki kutokana na kuwa walikuwa wakichepuka nje ya ndoa zao japo ripoti ya hospitali inasema kwamba watu walifariki baada ya kuwekewa sumu aina ya carbon monoxide

Post a Comment

 
Top