Aliyekuwa mpenzi wa Rapper Wiz Khalifa, Amber Rose amefanya kitendo cha aibu jana usiku baada ya kwenda kwenye club moja na kuta Chris Brown akiperform stegini na kuamnza kumkatia mbele ya kadamnasi ya wetu ambao walikuwa wamekuja kuitazama show hiyo ilikuwa katika jiji la Los Angel, watu walikuwa wakishangilia kutokana na drama aliyokuwa akiifanya staa huyo na Chris Mwenye alionekana kufurahia shughuli hiyo aliyokuwa anafanyiwa na Amber video ziko hapa chini



 


Kama kifaa chako hakina uwezo basi tembelea kwenye page ya Instagram uone bonyeza hapa kwa 

Video 1 

Video 2
A video posted by EntertainmentForBreakfast (@entertainmentforbreakfast) on


A video posted by EntertainmentForBreakfast (@entertainmentforbreakfast) on

Post a Comment

 
Top