Baada ya wabunge wa Kenya kuchapana makonde ndani ya bunge na wengine kufikia mpaka hatua ya kuachaniana nguo na kupeleka mijadala kwenye mitandao ya kijamii sasa kuchukulia sheria na moja katika ya kanunu za kenya ambazo mbunge anakakiwa kutekeleza kazi yake kati hali ya utulivu na amani ili kuhakisha wanadumisha upendo kwenye serikali yao sio vita kama ilivyo kuwa juzi kwenye fujo zilizotokea bungeni, Tume ya maadili nchini kenya imesema kuwa sheria hiyo haijatiliwa maanani hivyo wabunge wao lazima wawajibishwe
Baada ya Wabunge Kenya Kuchapana Makonde Kukiona cha Moto Ikiwa ni Pamoja na Adhabu.

Post a Comment