cristiano ronaldo 





Mchezaji Cristiano Ronaldo ambaye october mwaka huu ameingia rasmi kwenye biashara ya chupi za kiume aina ya boxer amechekesha umati baada ya kutoa siri za ndani na mpenzi wake ambapo alisema mpenzi wake anatabia ya kumwibia boxer zake aina ya CR7 na hii ni kauli yake yeye binafsi

  ‘She steals my boxers all the time. She wasn’t in the house and I opened her wardrobe and there were many CR7 boxers. It is funny’ 


Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa habari za mastaa wakubwa soka utakuwa unamjua Irina ambaye ndie mpenzi wa msakata kabumbu huyo picha yake iko chini hapa

Christiano Ronaldo and Irina


Post a Comment

 
Top