Kourtney Kardashian and Scott Disick




Baada ya zile picha za Kourtney Kardashian kupiga huku akiachia tumbo lake lilokuwa na kiumbe ndani yake sasa amejifungua mtoto wa kiume ambaye baba wa mtoto anajulikana kama Scott Disick na hii ni kwa mujibu wa mtandao mkubwa wa burandi wa  E! News ambao umethibitisha habari hii 


Kama ulikuwa humjui huyu Kourtney Kardashian ni dada yake na Kim Kardashian pamoja na Khole Kardashian

Kourtney Kardashian, Scott Disick, Penelope Disick, Mason Disick



Post a Comment

 
Top