davido


Hit maker wa single wa Aye kutoka Nigeria pamoja na producer wametoa ofa kwa Afrika Mashariki ambapo wameptoa nafasi kwa ajili ya watu amabo ni mashabiki wa mziki wake kwenda kwa muda wa week mbili ikiwa ni pamoja na kulipiwa gharama zote wakati ukiwa huko katika msimu huu wa sikukuu

Kupitia Good Life of East Africa ikiwa ni record label wametoa nafasi hizo kwa mashabikiwa Davido kutoka Kenya, Tanzania, Uganda pamoja na Rwanda lakin ili kushinda kuna shindano linaratibiwa na page ya Good Life EA kwenye Facebook pamoja na Twitter, unachotakiwa kufanya iliushinde kwenda dubai sasa ni kupost katika page hizo kwamba “I live The Good Life #VivaAfrica” Kisha usubirie mpaka mwisho wa shindano ambapo ni leo usiku.

Kama utakuwa mafuatialiaji mzuri wa habari za blogs facebook na twitter utakuwa unajuwa alichosema Davido baada ya Diamond Platnumz kunyakua tuzo MTV na Idris Sultan kunyakua ushindi BBA 2014 ikiwa ni kauli ya kejeli kwa Tanzania sasa kwa offer hii je ni njia ya yeye kuomba msamaha Afrika mashariki !!!

Post a Comment

 
Top