Iggy Azalea


Baada ya Rapper Eminem kumuimba rapper Iggy Azalea kuwa anataka kumbaka ambapo kwenye wimbo wake mpya ambapoa alindika juu ya kumbaka rapper mwenzie Iggy Azalea na aliandika hivi 

"Put that shit away, Iggy / You don't wanna blow that rape whistle on me."

Lakini baadae mambo yakahamia kwenye mitandao ya kijamii hasa kwenye twitter na huko ndipo rapper Iggy Azalea alipofunguka juu ya kauli ya msanii huyo kutaka kumbaka kwenye nyimbo aliyo imba na hichi ndicho alicho kiandika 



Iggy Azalea on twitter


Iggy Azalea on twitter


Iggy Azalea on twitter



Post a Comment

 
Top