Sidhani kama ulishawahi kuona hii kitu paka kuzaliwa ha sura mbili lakini hii kwa wenzetu imevunja rekodi ya dunia,unaambiwa paka huyu ana midomo miwili,pua mbili na macho matatu,lakini kwa bahati mbaya mliki wa paka huyo alitoa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa paka wake alifariki nilifanikiwa kukuletea picha zake hizi hapa chini
Kutana na Paka mwenye Vichwa Viwili.

Post a Comment