Anaishi Kakola km 75 kutoka Kahama mjini ambako kuna mgodi mkubwa wa dhahabu na migodi mingine midogo ya wachimbaji wadogo wa gold,anafanya kazi ktk baa ya NEW PEACE.
Ni mzuri sana wa sura, umbo namba nane, rangi ya chocolate, ukimuona utadhani ni mnyarwanda, urembo wake wa sura ya baby face na tak* kubwa la kufa mtu ambapo akitembea hutikisa lenyewe automatically ndo vinawafanya vijana wenzangu waogolee kwenye moto bila kujua.
Ni wachache mno huko Kakola wanaomjua Eliza kuwa tayari kaugua. Kwa mkazi yeyote wa Kakola ambaye hataamini aende ktk kituo cha afya cha Lunguya siku ya alhamisi ktk wk yoyote ile, atakutana na Eliza huko kafuata dozi ya kupunguza makali.
Mwezi jana Eliza kamuambukiza HIV kijana mmoja mchimbaji mdogo (note, Eliza si jina lake halisi).
Kazi kwenu vijana wakware,la mgambo limelia, kila anayefika Kakola tahadhari kwake na kwingine pia, tujilinde.
Credits Jamiiforums.com
Post a Comment