Mume Achezea Kipigo Kama Mtoto Baada ya Mkewe Kumfumania Akivunja Amri ya Sita na Rafiki yake.


Kenya kila siku kuna story mpya na matukio ambayo ni ya kustajabisha zaidi na sintoacha kukuletea mara tu nipatapo story hizi, Ule msemo usemea ndoa ndoano na siku za mwizi ni 39 ya arubaini anakamatwa imetomkea puani mwanaume mmoja baada ya kufumaniwa na mkewe akivunja amri ya sita na rafiki wa mkewe na kucheze kichapo kama mtoto mdogo kutoka kwa mkewe video iko hapa chini kama kifaa chako ahika uwezo bonyeza hapa






Post a Comment

 
Top