Captain wa timu ya Chelsea John Terry amenunua nyumba yenye thamani ya Euro £4.35million ambayo ni sawa na shilingi 9,570,000,000 billion za kitanzania. Mchezaji huyo anayelipwa euro £170,000 kwa wii ambazo ni sawa na shilingi 3,740,000 billion za kitanzania,Nyumba hiyo ambayo ni mara tatu ya mshahara wake yaani ukikusanya mishara yake kwa wiki tatu ndio thamani ya nyumbani aliyonunua ambayo nyumba hiyo ina jumla ya vyumba saba mabafu sita,mapokezi vyumba vinne pia na vitu kama jiko vyumba kwa ajili ya kumpuzikia na garden kwa ajili ya kunga upepo hizi ni baadhi ya picha za nyumba hiyo ya mchezaji huyo


John Terry's mansion







John Terry's mansion







John Terry's mansion







John Terry's mansion







John Terry's mansion










John Terry's mansion

Post a Comment

 
Top