Staa Jaguar ktoka kenya kwa sasa ataachana na magari na ataanza kusafiri na Helkopta yake ya Binafsi, ambapo kupitia kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii amesema kwamba anakaribisha mialiko kwenye party zozote iwe usiku au mchana na atafika bila ya kukosa kwakuwa kwa sasa anamiliki Chopper yake binafsi kupitia Instagram staa huyo aliandika hivi
“Chopper things... So many invitations.. Tell me wea yo party @ nitashukia hapo.. first stop...?”
Pamoja na kuachia picha hizi hapa chini
Post a Comment