
Rapper Nicki Minaj kwa mwaka 2015 anategemea kuingiza sokoni kalenda yake mpya ambayo itakuwa na picha zake, kwa sasa picha zake ni headlines kwenye mitandao mikubwa duniani nimekuletea hizi picha zingine baada ya zile za awamu ya kwanza hii ni awamu ya pili





Post a Comment