.Nuh mziwanda na shilole 

Msanii Nuh Mziwanda pamoja na mpenzi wake Zuwena Mohamed aka Shilole siku ya jana Dec 20 uhusiano wao umeingia kwenye ulimwengu mpya kabisa baada ya Nuh kumvisha pete ya uchumba Shilole, Siku ya jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Shilole ndipo Nuh alipo aamua kufanya kitu cha aina yake kwa kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake huyo hizi ni baadhi ya picha katika tukio hilo 

. 


. 


. 


. 


. 


. 


. 


Picha kwa Hisani ya millardayo.com



Post a Comment

 
Top