Tiwa Savage



Msanii  Tiwa Savage ambaye ameolewa huko Nigeria hapa Tanzania tunamfananisha na Lady Jay Dee kutoka na mafanikio walionayo kwenye muziki lakini kitu cha tofauti kwa huyu Tiwa na Jide ni kwamba Tiwa licha ya kwamba kaolewa lakini mavazi yake kwenye show ni ya Aibu sana hizi ni moja ya show alifanya huko UK hivi karibu ilikuwa ni balaa nyingine wanaume wa Uk walibaki wakiangushia mate umbo la Tiwa Savage Kutoka Nigeria 


Picha zingine hizi hapa enjoy 


Tiwa Savage

Tiwa Savage

Tiwa Savage

Post a Comment

 
Top