wema sepetu   
Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa blogs,facebook pamoja na Twitter utakuwa unajua juu ya project mpya anayoifanya Wema Sepetu pamoja na msanii kutoka Ghana Van Vicker sasa kuna baadhi ya picha zimevuja wakifanya yao chumbani kwenye movie hiyo lol ziko hapa chini 

 
Wema Sepetu na Van Vicker
 


Wema na Van Vicker 

Nafikiri movie ikitoka itakuwa patashika ya nguo kuchanika lol

Credits Bongomovie

Post a Comment

 
Top