Mastaa wengi wa ambao wako kwenye list ya mastaa matajiri zaidi wamekuwa wakishindwa kununua gari aina ya Bugatti zaidi ya moja lakin kwa mcheza masumbwi duniani Floyd Mayweather anamiliki gari hizo tatu ambao moja ni sawana na dollar za kimarekani $2 million hivyo ukipiga mara tatu unapata dollar za kimarekani $6 Million sawa na Billion 10 za kitanzania
Kupitia akaunti yake ya Instagram ameshare picha ikonyesha garage ya magari yake pamoja na private jet yake ambao kuwa mujibu wa mtando wa TMZ wameweka na thamani ya kila gari iko hapa chini
- Bugatti Veyron -- $2 million
- Bugatti Veyron -- $2 million
- Bugatti Grand Sport -- $2 million
- Ferrari 458 Spider -- $250k
- Ferrari 458 Spider -- $250k
- Lamborghini Aventador -- $400k
- Porsche 911 Turbo S $180k
- Ferrari 599 GTB Fiorano -- $300k
Ukijumlisha magari yote jumla ya pesa unapata ni dolar za kimarekani $7.3 million.
Mtandao wa Forbes uliwahi kutoa list ya wachezaji na mastaa wanaomiliki mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka huu ambapo Floyd Mayweather ameingiza jumla ya shiling Million $400 zikiwa ni dollar za kimarekani.
Post a Comment