Mzshi




Taarifa ya leo kutoka Clouds Fm kwenye kipindi cha Hekaheka ya leo January 5 inahusu tukio lilotokea Shinyanga ambapo ndugu wa mwanamke mmoja aliyefariki walimpasua tumbo marehemu huyo na kumuwekea kifaranga cha kuku kikiwa kizima.

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa marehemu alifariki akiwa na tatizo la uvimbe tumboni, makubaliano yao ilikuwa kwamba wafanye shughuli hiyo wakati mwili wa marehemu akiwa hospitali lakini mtafaruku ukazuka pale ambapo ndugu hao waliamua kufanya zoezi hilo wakati jeneza limeshushwa ndani ya kaburi.

Watu waliamua kususia mazishi baada ya mtu huyo ambapo ndugu wakaamua kufanya mazishi hayo wenyewe ambapo Polisi waliingilia kati pia kujua chanzo cha mtafaruku huo, kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa







Credit Millard Ayo



Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top