wema sepetu na van vicker


Msanii wa Filamu kutoka Bongomivie anayejulikana kama Wema Sepetu amemwaga ubuyu kuhusu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na kusema kwamba Staa wa filamu kutoka Ghana Van Vicker alichangia kidogo mimi kuachana na Diamond Platnumz 

Kwa mujibu wa mtandao wa Global Publisher Wema Sepetu anasema sababu kubwa iliyomfanya Wema Sepetu amesema kwamba Van Vicker amehusika mimi na Diamond kuachana na hii ndio kauli yake 

“Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia, alianza ku-like picha zangu, nikamwambia Dai (Diamond), akaniambia achana naye, baadaye tulibadilishana namba, tukawa tunawasiliana"

“Ilipofika wakati amenitaka tufanye kazi pamoja, nilipomwambia Diamond ndiyo matatizo yalipoanzia hadi kufikia hatua ya kuachana,”  

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top