Mtoto wa waziri mkuu nchini Kenya raila Odinga anayejulikana kwa jina la Fidel Odinga amefariki dunia mapema leo alfajiri.
Fidel ambaye amefarika katika hospital ya Nairobi ambapo siku ya jana alikimbizwa hospital na mkewe ambapo kwa mujibu wa madaktari bado hawajua chanzo cha kifo chako wanendela na uchunguzi.
Siku ya Jumapili ambapo Fidel alikuwa kwa baba yake na walikula chakula cha mchana na baba yake alifanyiwa interview na star morning ya nchini kenya
Kwa mujibu wa mkewe Fidel alikuja jion na akatoka na marafiki zake kwenda kutembea na jion alivyorudi na aliporudi alisema anataka kupumzika ndipo alipo kimbizwa Nairobi Hospital na mpaka mauti wake kumfika.
Mwanasiasa huyo Raila Odinga amedhibitisha kifo cha mwanae.Tunapenda kutoa pole kwa familia ya Raila Odinga na Kenya wote
Post a Comment