
Seneta kutoka Kenya Mike Sonko au unaweza kumwita Billionaire anaingia tena kwenye headline baada ya picha ya gari yake yenye rangi ya gold kuonekana katika hotel moja ya kifahari ndani ya jiji la Nairobi. Kama ilivyokwa Mastaa wengine kutumia plate number za majina yao kwenye magari kama alivyofanya msanii Diamond Platnumz kwa hapa Tanzania basi kenya amefanya senetor huyo mwenye pesa sana ambapo gari yake ni aina ya V8, japo hajataja bei kamili ya pesa aliyonunulia gari lakin nitakuletea mara pale nipatapo taarifa ubuyu ukimwagika picha ya gari lake iko hapa chini

Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.