Mwanafunzi mmoja kutoka chuo kikuu cha kenya anayejulikana kama Ashley Agumbi a mwenye umri wa miaka 22 ambaye alikuwa amemaliza masomo yake December 2014 aliyekuwa amekutana na mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii yani Facebook anayejulikana kama Carl Singleton miaka 2 iliyopita ambapo alikuwa akisafiri na kuja kenya kwa ajili ya kuja kuenjoy na mpenzi wake huyo.

                              Mwanafunzi wa Chuo Auwa na Mpenzi wake Mzungu Kenya. 


 Ndipo mapenzi yao yalipoanza kubadilika na kuwa kama shubiri Carl alianza kumshushia kipigo kikali sana mpenzi wake na alikuwa akifkia hatua hata ya kutupa dawa zake chooni na kumfanya kama mataka kumfungia ndani siku mbili baada ya kumpiga, Baada ya Ashley kupata kipigo kikali sana alianza kuumwa ghafla na alipelekwa katika hospital ya Agha Khan Hospital iliyoko Nairobi kwa ajili ya matibabu zaidi ambapo ndipo mauti ulipo mkuta na kwa mujibu wa madaktari amefariki kutokana na kwamba alishindwa kunywa dawa zake alizokuwa akimeza na tatizo la uwezo mdogo wa kupumua


Uchunguzi wa polisi unasema mwanaume huyu mwenye asili ya kibritish alikuwa akiishi nyumbani kwa kina Ashley na siku ambayo Carl mama yake aliota ndoto mbaya usiku na ndipo alipoamka asubuh alipata taarifa ya mtoto wake kukamatwa na alikuwa na haya ya kusema

'I was absolutely devastated. It's my worst nightmare come true,' she said of the news of his arrest,He was really upset, he really was, I could tell by his voice. He just said he was in the police station locked up and that they thought he had killed his girlfriend,It's really difficult because he's so far away. I can't get it out my head. I feel terrible


Picha ya chini ni Carl akiwa katika pozi.....

Mwanafunzi wa Chuo Auwa na Mpenzi wake Mzungu Kenya. 



Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter naInstagram

Post a Comment

 
Top