Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara Bi Helena Paulo mwenye umri wa miaka 20 amejifungua watoto wawili mapacha wa kike ambao wameungana katika eneo la kifua hadi tumboni.
Mwanamke Ajifungua Mapacha Waliounganika Kifua Musoma Picha ziko Hapa.

Post a Comment