mwanafunzi aliyevua nguo baada ya kupokea degree yake



Mwanafunzi mmoja ametoa kali ya mwaka kutoka University of Hawaii ambapo ilikuwa ni siku ya graduation yake akipokea cheti chake cha kuhitimu katika chuo hicho akichukua Degree moja lakini alipopokea cheti chake aliamua kuvua nguo zote mbele ya kadamnasi ya watu na kutembea kurudi alipokuwa amekaa.

Baada ya kupokea cheti chake aliaanza kuchambua nguo moja moja na kubaki na ile ya ndani na kuwa angalia maelfu ya wahitimu pamoja na wageni waliofika siku hiyo kwa ajili ya kusherekea mahahafali huku akinyajua juu cheti chake.



mwanafunzi aliyevua nguo baada ya kupokea degree yake

Tamaduni za Kihawaii zinarusu mambo ya uchi lakinis sio mambo ya ngono na kwa mujibu wake anasema kwamba kitendo alichokifanya ilikuwa ni style yake ya yeye kuwa kumbusha watu kutokuwa na aibu na mila na desturi zao,,Ingekuwa niwew ungefanya hivyo kweli.....

Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top