Woman With World's Strongest Va gina Lifts Weight With It (PHOTO)


Inawezekana story kama hizi unazisikiaga kwenye movies na hata mkiwa na washkaji kijiweni lakini zipo. Hii ni ya mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 mwenye asili ya kirusi anayejulikana kwa jina la Tatiata Kozhevnikova, anashikilia rekodi ya kwanza ya dunia ya mwanamke mwenye uke wenye nguvu na uimara zaidi duniani.Kingine cha kustajabisha ni kwamba amekuwa afanyia mazoezi sehemu zake za siri hasa kwenye uke kwa takribani ya zaidi ya miaka 15. Ambapo sasa havi anawezo wa kunyajua ndoo ndogo ya maji ya lita kumi na hata lile dumu la lita 14 ambapo mpaka sasa anashikilia rekodi ya Guinness Book of Records akiwa kama mwanamke mwenye uke wenye nguvu zaidi duniani 


Video yake akifanya mazoezi iko hapa chini nimekuwekea kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza hapa 





Unataka usikose ubuyu wa habari moto basi tufuate kwenye kwenye mitandao ya kijamii kwa kubonyeza hapa Facebook Twitter na Instagram

Post a Comment

 
Top