Jokate Mwegelo na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wameshare zao za walizopiga kwaajili ya miradi yao mipya. Kupitia Instagram, warembo hao wamewaonesha mashabiki wao muonekano wao wa 2015 na jinsi walivyo warembo. Lakini yupi ni zaidi? Tazama picha hizi na kisha weka maoni yako chini.
Lulu Michael |
Lulu Michael Katika Pozi |
Jokate Katika Mapozi Tofauti |
Post a Comment