Kumekuepo na makundi natetesi za kutopendana kati ya wasanii wa Bongo Movie, mara nyingi tumeona wakirushiana maneno na hata mabifu yao kuandikwa na magazeti mbalimbali. Leo kupitia akaunti yake ya Instagram Star Jackline Wolper ameamua kufunguka uozo uliomo kati ya mastar wengi wa Bongo Movie.

Wolper aliandika ” Nawapenda sana Bongo Movie lakn chakusikitika vile vichwa mnavyoviamin kwenye tasinia ndo masnch wakubwa simtoke huko tafuteni kAzi nyingne km amjasoma kma mm jifunzeni kushona nguo kma mm me sahv na fund wangu mgece naingia class asubuh najion nimeshachoka kutumikishwa na Wahnd ..kipaji changu kingne mitindo so najisogeza kwenye mitindo Mbali mbali syo kubanana sehem ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila sku .. Nawahnd awatetereki Maana hao Mnaowaita magwiji ndomsatar wambele kukandamiza .. sasa sjui lengo nn kupata wao tuu au basi tuu roho mbaya..Nikipata Majina yao yote nitawawek na Mapicha yao..siongei kma movie star Naongea kma Mwananch nayependa snaa iliyonishinda nakujitoa bila Matangazo..i hate u wanyonyaji nawachukia saaaaana ”

Kilichowashtua wengi na kauli yake kua ameamua kuachana na BongoMovie na kuamua kujiingiza katika Fani ya ubunifu wa mavazi. Baadhi ya mashabiki zake waliamua kutoa maoni haya

Post a Comment

 
Top