Kuna msemo unasema pesa fahari ya roho na ndio watu wanavyofanya wakiwa na pesa ikiwa kama kununua magari ya kifahari kuponda starehe zote huku duniani.
Kutoka Kenya gari lenye thamani ya shilingi 44.3 Million aina ya rolls royce limeonekana likipia katika jiji la Nairobi.
Hizi ni picha za gari hilo linavyonekana ebu na wew tazama ujionee
Kwa mbele ndivyo inavyoonekana hivi
Kenya wanazidi kitisha kwa kumilik magari makalii
Post a Comment