linah 



Msanii Linah ambaye ni zao kutoka Jumba la vipaji Tanzania THT hivi karibuni baada ya kuachia nyimbo yake mpya ijulikanayo kama Hello aliomshirikisha Christian Bella amenukuliwa katika moja ya Interview zake alichofanya na kituo cha Radio 5 kilichopo jijini Arusha kuwa toka amejua mapenzi hajawahi kupata mapenzi ya kweli 

Hizi ni moja ya kauli zake 

"Lakini sasa hivi nimepata mapenzi ya kweli, Sijawahi kukaa kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka mitatu lakini sasa nimekaa kwenye mahusiano kwa miaka mitano,” alimalizia hapo


Haya kila la keri Linah Sanga



Post a Comment

 
Top