Nadhani utakuwa unakumbuka ile Couple ilikuwa na mishkel ikafikia hatua ya kupelekana mpaka mahakamani ikiwa n nani atabaki na mtoto na siyo nyingine ni ile ya Amber Rose na Rapper Wiz Khaifa, sasa anachojaribu kukifanya Wiz ni kujaribu kuchukua mamlaka kutoka kwa Amber ambapo kwa madai ya Wiz ni Amber Rose sio hafai kuwa mama wa mtoto wake kutokana na malezi anayompa mtoto wake na anafanya kila njia ili kumwangusha Amber ambapo amsambaza picha za nyumba ya Amber zikionyesha ucha wa hali juu alionao Amber kwenye mtandao wa TMZ, ambapo yeye anasema haya mazingira sio mazuri kwa mwanae pia na usalama wa mwanae.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka mtandao mkubwa duniani TMZ
Je kwa anachokifanya Wiz Khalifa atafanikiwa kumpiku Amber na kumchukua mtoto wake? mimi na wew hatujui lakin endelea kuwa nasi na tutakujulisha wakati wowote.
Post a Comment