Mwanamitindo wa kiitaliano Fanny Naguesha ambaye alikuwa akitoka na mchezaji wa Liverpool Mario Balotelli chanzo ikiwa ni mwanasoka huyo kumkataza Naguesha kuendelea na modelling. Balotelli alimvalisha pete ya uchumba Naguesha wakati wa kombe la dunia mwaka jana nchini Brazil lakini uhusiano wao ukaishia njiani baada ya Baloteli kuingilia kazi ya mwenzie.

Pole sana Baloteli ukipata mwingine usirudie tena.

Post a Comment

 
Top