
Mastaa kutoka Nigeria kama Peter na Paul Okoye ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P Square, Jude Okoye, Don Jazzy, Clarence Peters kwa sasa wapo South Africa wakifanya shooting ya video ya single yao mpya ambayo imwakutanisha wote kwenye single moja ya 'Collabo'. Chini ni baadhi ya picha kutoka huko South teremka nazo

Post a Comment