wema-sepetu-na-mimba-ya-ommy-dimpoz 


Super staa kutoka Bongomovie Wema Sepetu ambaye kwa sasa ni mchumba wa Hit maker wa single ya Ndagushima Ommy Dimpoz, kutoka Instagram kuna baadhi ya picha zake ambazo zinaashiria kuwa Wema Sepetu ni mjamzito.Kwenye picha hiyo Wema anaonekana kashikwa tumbo na watu wawili wote wanawake ambapo picha hiyo iliostiwa na akaunti inayoongozwa na mashabiki zake Wema Sepetu ijulikanayo kama @WemaDaily kwenye Instagram na iliandika hivi
”kuachilia kuwa anataka aseme jambo @WemaSepetu" 

Hakupita muda akaunti hiyo ikatoa picha na kudai kuwa Wema Sepetu amemwambia asitoboe kuwa ana ujazito wa Ommy Dimpoz

Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa Instagram na website yetu utakuwa unajua kuwa akaunti ya Wemadaily ndiyo ya kwanza kabisa kuonyesha picha za Wema pamoja na Ommy wakiwa kitandani, Sasa huenda na hili la mimba likawa ni kweli kwamba Ommy Dimpoz amefanikiwa kumpatia ujazito Staa Wema Sepetu.Picha yenyewe iko hapa chini 






wema-sepetu-na-mimba-ya-ommy-dimpoz

Post a Comment

 
Top