Msanii TID ambaye ni mmilikiwa Band kubwa hapa bongo ijulikanayo kama Top Band alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na msanii Q-chief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo ni pesa na bla bla kibao.

Katika kubalance Story mwandishi alijaribu kumpandia hewani Mugabe na ndipo alipoweka wazi kwamba TID alimdhulumu mtonyo wa millioni 7 na maneno aliyopayuka kwenye interview ni sababu ya kula unga, amemshauri aache kula ngada (unga) pia arudi kwenye hali ya ubinadamu coz hastahili binadamu kujiita mnyama.

Post a Comment

 
Top