Kwa kawaida mastaa wakubwa na watu maarufu wanapofanya Birthday huwa inakuwa tofauti na watu wa kawaida ambapo huzawadiana vitu kama nguo na keki ya Birthday lakin kwa mastaa na watu maarufu vitu vyenye thamani kama magari lazima ya husike ikiwa kama ni pongezi za kufikisha miaka fulani, Kama ilivyokuwa kwa Wema Sepetu mwaka jana alipozawadiwa gari na Ex wake Diamond Platnumz na sasa ni zamu ya Petitman Wakuache ambae ni Shemeji wa Mwanamuziki Diamond ambapo naye kamuiga shemeji yake mwaka jana na sasa kamzawadia mkewe gari aina ya Toyota Porte. Mkewe ambaye ni Dada halali kabisa wa Diamond Platnumz ambapo mwaka jana alifunga Ndoa na Petitman Wakuache.

Post a Comment

 
Top