Former TPF contestant, Hemedi Suleiman ambaye aliwahi kuhi na Vibao kadhaa vikali kama Rest Of My Life na zingine nying week hii ameachia single yake mpya aliyoipa jina la Far Away Video imefanyika chini ya Director Msafiri Shabani Kutoka Kwetu Studios Enjoy
Kama kifaa chako hakina Uwezo bonyeza hapa kuitazama Video hii.
Post a Comment