diamond na zari wakiwa kwenye gari


Kutoka Kwenye Akaunti ya Facebook ya Mpenzi wa Diamond Platnumz anayejulikana kama Zari Tlale almaarufu kama Zari the Boss Lady kwamba anatarajia Kupata Mtoto wa Kike na ambapo kwenye Facebook yake aliandika Hivi 

Good morning fam while another is sharing thier news of hooking up with a stripper/PornStar/Hooker as their latest catch. Allow me to share my amazing news.....here it is
Hii ni Ishara Tosha kuwa Mr & Mrs Diamond wanategemea mtoto wa Kike


picha za zari



picha za zari

Post a Comment

 
Top